iqna

IQNA

Mwezi wa Ramadhani
Kwa mujibu wa Surat Al-Qadr katika Qur'ani Tukufu, Ramadhani ni mwezi uliobarikiwa ambapo Mtume Muhammad SAW aliteremshiwa Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3476848    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/04/11

Mwezi wa Ramadhani
TEHRAN (IQNA) – Qur’ani Tukufu inatoa ufafanuzi wa mambo yote, kwa mujibu wa aya ya 89 ya Surah An-Nahl.
Habari ID: 3476805    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/04/03

Mwezi wa Ramadhani
TEHRAN (IQNA) – Katika aya ya 238 ya Sura al Baqarah Qur'ani Tukufu imewataka Waislamu kuzingatia ipasavyo Sala
Habari ID: 3476793    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/04/01

Mwezi wa Ramadhani
TEHRAN (IQNA)- Qur'ani Tukufu imeteremshwa kuwa ukumbusho na mwongozo kwa watu, kwa mujibu wa aya ya 138 ya Surah Al-Imran.
Habari ID: 3476784    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/03/30

Mwezi wa Ramadhani
TEHRAN (IQNA) – Mwenyezi Mungu SWT amewataka wanadamu kuwa na huruma kwa wazazi wao, kwa mujibu wa aya ya 15 ya Surah Al-Ahqaf.
Habari ID: 3476767    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/03/27

Mwezi wa Ramadhani
TEHRAN (IQNA) – Mwezi uliobarikiwa wa Ramadhani ni wakati Mwenyezi Mungu Mtukufu alipoteremsha Qur’ani Tukufu kwa Mtume Muhammad (SAW) kama mwongozo kwa wanadamu.
Habari ID: 3476746    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/03/23